Posts

FAHAMU VINYWAJI VIWILI MUHIMU USIVYOTAKIWA KUKOSA KWAAJILI YAKO NA FAMILIA

Image
C hangamoto za afya zimekua zikiongezeka kila kukicha na hii ni kwasababu tumekua tukila vyakula bila kujali je ninachoingiza mwilini mwangu kitafanya kazi kama chakula? Dawa?  Au sumu? Endapo utakula chakula mara tatu kwa siku alafu hupati haja kubwa mara tatu, unapata choo kigumu, tumbo linaunguruma na kujaa gas,  unakosa hamu ya kula, unapata au ndo unatibua vidonda vya tumbo,  basi hicho chakula kimekua sumu mwilini mwako.  Nini kifanyike?  Kuzuia kula hivyo vyakula inaweza kua changamoto, maana kawaida chakula kinapikwa cha familia,  lakini bado hii haiondoi  umuhimu wa kujali afya yako hasa kwa upande wa mfumo wa chakula ambao usipikua sawa unachangia ongezeko la kupata magonjwa mengine mengi zaidi.  Unafahamu ugonjwa wowote ulionao kama sio wa kuambukizwa unasababishwa na chakula ulichokula au ambacho haujala?  Moja kwa moja karibu ujifunze kuhusu vinywaji viwili muhimu ambavyo mwili wako unahitaji ili kuw...

NI KWA JINSI GANI DAWA YA MENO UNAYOTUMIA INACHANGIA KUHARIBU MENO YAKO

Image
"Watoto chini ya umri wa miaka sita (6) watumie kiasi cha punje ya njegere na chini ya uangalizi wa wazazi,  sukutua mdomo kwa maji mengi, ikitokea umemeza nenda kamuone daktari au kitengo cha kutoa sumu, rudi kwa daktari wa meno kila baada ya miezi 3". Hayo ni maneno yanayoandikwa kwenye dawa za meno nyingi tunazotumia,  sad enough zinaandikwa kwa herufi ndogo sana,  na ni wachache wanaojali kwanini kumeandikwa hivyo, some of you hata hamjui kama kuna maneno hayo. Je ni wazazi wangapi mnasimamia watoto wenu wakati wakupiga mswaki kuhakikisha hawamezi dawa?  Je unajali kuhusu size ya dawa unayoweka kwenye mswaki au unajaza kama kwenye tangazo linavyoonyesha? Maneno hayo hayana tofauti na onyo kwenye pakti ya sigara,  lakini bado zinapata watumiaji,  ingawa afadhali mtumiaji huyu ni mtu mzima anauwezo wa kuchanganua mambo,   vipi kuhusu mtoto anaetumia dawa ya meno yenye chembe chembe hatarishi kwa afya yake, lakini bila kujua huku akihama...

SABABU 5 KWANINI UACHE KUTUMIA DEODORANT YAKO

Image
Karibu Aloe healthy life style "Look better Feel better". Lengo letu ni kukuletea elimu na bidhaa zinazokusaidia kuwa na muonekano mzuri na kujisikia vizuri zaidi. K wa muda mrefu sana nimekua situmii deodorant /antiperspirant  yoyote kwasababu ya madhara niliyokua napata kutokana na deodorant hizo na kunifanya nisiwe mwenye furaha. Nilikua nikitumia tu deodorant/antipesperant za kawaida ngozi yangu ya kwapa inakua kavu sana, napata miwasho na vipele ambavyo vikipona vinasababisha weusi kwapani. Hali hyo ilipelekea niache kabisa kutumia deodorant huku nikiendelea kutafuta ni deodorant ipi itanifaa maana dar es salaam jua ni kali.  Katika kufanya tafiti ya deodorant gani naweza kutumia bila kunisababishia madhara yoyote, nikakutana na Aloe Ever shield Deodorant sticks ambayo nilianza kutumia kwa majaribio tu baada ya kuambiwa ni asili na hakuna vitu ambavyo ni hatarishi vilivyopo kwenye deodorant nyingne tulizozizoea. Baada ya kuitumia kwa muda wa week moja tu nikaona ...