NI KWA JINSI GANI DAWA YA MENO UNAYOTUMIA INACHANGIA KUHARIBU MENO YAKO
"Watoto chini ya umri wa miaka sita (6) watumie kiasi cha punje ya njegere na chini ya uangalizi wa wazazi, sukutua mdomo kwa maji mengi, ikitokea umemeza nenda kamuone daktari au kitengo cha kutoa sumu, rudi kwa daktari wa meno kila baada ya miezi 3".
Hayo ni maneno yanayoandikwa kwenye dawa za meno nyingi tunazotumia, sad enough zinaandikwa kwa herufi ndogo sana, na ni wachache wanaojali kwanini kumeandikwa hivyo, some of you hata hamjui kama kuna maneno hayo.
Je ni wazazi wangapi mnasimamia watoto wenu wakati wakupiga mswaki kuhakikisha hawamezi dawa? Je unajali kuhusu size ya dawa unayoweka kwenye mswaki au unajaza kama kwenye tangazo linavyoonyesha?
Maneno hayo hayana tofauti na onyo kwenye pakti ya sigara, lakini bado zinapata watumiaji, ingawa afadhali mtumiaji huyu ni mtu mzima anauwezo wa kuchanganua mambo, vipi kuhusu mtoto anaetumia dawa ya meno yenye chembe chembe hatarishi kwa afya yake, lakini bila kujua huku akihamasishwa na ladha tamu anaimeza tena wengine wanailamba kama asali?
Kwa kipindi cha miaka mingi nilikua sio mlaji wa nyama, sio kwasababu ni rasi au nina allergy hapana, meno yangu hayakua na nguvu ya kutafuna na endapo nikilazimisha basi siku mbili nitaugulia meno yanauma.
Tatizo hilo liliendelea kwa muda mrefu mpaka niliposhirikishwa kuhusu dawa ya meno ambayo kwa maelezo ya mtu huyo alisema ni:
1. fluoride free.
2. Ina antibiotic asili ya nyuki (bee propolis) itakayopambana na bacteria wanaozalishwa na mabaki ya chakula.
3. Ina aloe vera kwaajili ya kutunza, kuponya na kulinda kinywa changu. Aloe vera pia yenyewe ni antibiotic asili, anti-inflammatory , na inachochea kasi ya uponaji wa fidhi, fidhi kutoa damu, vidonda vya mdomoni, na meno kufa ganzi.
4. Ni salama ukimeza kwakua haina kemikali hatarishi, na kwakua ina aloe vera nikimeza itaondoa bacteria wabaya tumboni ambao husababisha pia harufu mbaya ya kinywa.
5. Ni salama kwa familia nzima, inafaa kwa vegetarians (wasio kula nyama) maana haina bidhaa yoyote ya wanyama iliyotumika kutengenezea
Nikasema let me give it a try, week moja tu baada ya kuitumia bila kurealize nilikula nyama kwa muda mrefu bila kusumbuliwa na meno mpaka nikajisahau kama ni mimi.
Then nikaanza kushare na rafiki yangu ambae yeye alikua na tatizo akila nyama kisha akapiga mswaki fidhi zake zinatoa damu, yeye pia baada ya muda tatizo hilo likakoma.
Ndipo nikaamua kuchunguza na kujifunza zaidi kwani shida iko wapi?
Nikagundua kua dawa za meno zinakemikali nyingi sana hatarishi, kwa kizungu wanasema "Too much is harmful". Hicho hicho kiwango tunachoona kidogo tunatumia wakati wa kupiga mswaki baada ya miaka kadhaa kinazalisha tatizo kubwa zaidi.
1. Pamoja ya kwamba fluoride ni muhimu inazuia meno kuoza na kuyafanya imara, ikizidi inapelekea meno kukosa nguvu, kuwa mepesi na kumeguka.
2. Kwenye dawa nyingi za meno wameweka artificial antibiotic ambazo utumiaji wake kwa wingi na mara kwa mara unapunguza nguvu ya kupambana na bacteria. Hivyo kufanya kinywa kishambuliwe na bacteria wanaozalishwa na mabaki ya chakula.
3. Fluoride imetajwa kuwa miongoni mwa kemikali zinazosababisha saratani.- Dr Dean Burk PHD
Fluoride ni muhimu hatuwezi kukataa umuhimu wake, lakini kutokana na maendeleo ya tecknolojia na viwanda kumekua na vyanzo vingi vya kupata fluoride katika mwili ikiwemo maji ya chupa na bomba, soda na juice, mouth wash nk, ambavyo vinachangia kuwa na fluoride nyingi zaidi mwilini ambayo ni hatari kwa afya.
Ni vyema kuacha kutumia dawa ya meno yenye fluoride unless umeshauliwa na daktari wa meno (dentist) maana kuna watu wanaupungufu wa fluoride mwilini hivyo wanahitaji dawa ya meno ya fluoride kuimarisha meno yao.
Ili kulinda afya ya kinywa na mwili ni muhimu pia kwa watoto wakiwa wadogo kuacha kutumia dawa ya meno yenye fluoride ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza.
Kwa mahitaji ya fluoride free toothgel wasiliana nami 0654818439/0744411737.
Lengo letu ni kukuweka karibu na elimu pamoja na bidhaa zitakazokusaidia kuwa na muonekano mzuri na kujisikia vizuri zaidi. Usishau kusubscribe ili uwe wa kwanza kupata nakala hizi.
Aloe healthy lifestyle look better feel better

Comments
Post a Comment