FAHAMU VINYWAJI VIWILI MUHIMU USIVYOTAKIWA KUKOSA KWAAJILI YAKO NA FAMILIA

Changamoto za afya zimekua zikiongezeka kila kukicha na hii ni kwasababu tumekua tukila vyakula bila kujali je ninachoingiza mwilini mwangu kitafanya kazi kama chakula? Dawa?  Au sumu?

Endapo utakula chakula mara tatu kwa siku alafu hupati haja kubwa mara tatu, unapata choo kigumu, tumbo linaunguruma na kujaa gas,  unakosa hamu ya kula, unapata au ndo unatibua vidonda vya tumbo,  basi hicho chakula kimekua sumu mwilini mwako. 

Nini kifanyike?  Kuzuia kula hivyo vyakula inaweza kua changamoto, maana kawaida chakula kinapikwa cha familia,  lakini bado hii haiondoi  umuhimu wa kujali afya yako hasa kwa upande wa mfumo wa chakula ambao usipikua sawa unachangia ongezeko la kupata magonjwa mengine mengi zaidi. 

Unafahamu ugonjwa wowote ulionao kama sio wa kuambukizwa unasababishwa na chakula ulichokula au ambacho haujala? 

Moja kwa moja karibu ujifunze kuhusu vinywaji viwili muhimu ambavyo mwili wako unahitaji ili kuwa na afya njema. 

ALOE BITS N PEACHES

Rafiki wa watoto. kumekua na shuhuda mbali mbali za watoto wasiopenda kula kuanza kukitafuta chakula,  waliokua wanasumbua kulala wanapata usingizi mzuri na hii ni kwasababu ya kinywaji hiki.

Mtoto akishaanza kutambaa anakua exposed zaidi na bacteria tofauti, anashika vitu vichafu,  anagusa chini na mikono yake na muda mwingne hula vitu vichafu bila mzazi kujua. Mtoto anashinda shule siku nzima anakula vyakula ambavyo mzazi hujui vimeandalieaje,  ni shule chache sana zinazoandaa vyakula kwa kuzingatia mlo kamili na kwa usafi zaidi, vitu vyote hivi vinachangia kuharibu mfumo wa chakula,  mtoto anaanza kukosa hamu ya kula,  kuharisha,  tumbo lake kuunguruma nk . Endapo mfumo wa chakula wa mtoto ukikaa sawa changamoto nyingi zitaepukika. 

ALOE VERA GEL

Ni kinywaji usichotakiwa kukosa angalau mara mbili kwa mwezi ili kuhakikisha afya yako inazidi kuwa njema.  Matatizo mengi ya afya huanzia tumboni chakula kinakofikia,  maana mifumo yote ya mwili inahitaji virutubisho vinavyopatikana kwenye vyakula ili viweze kufanya kazi vizuri.  Kwahiyo mfumo wa chakula usipokua sawa utakua kwenye hatari ya kupata uzito mkubwa,  vidonda vya tumbo,  pressure,  kisukari,  cholesterol iliyozid nk,  maa hivi vyote vinachangiwa na vitu tunavyokula.

Inaweza ikawa ngumu kuacha kula vitu vya ngano, mafuta, pombe,  vinywaji vyenye sukari ya viwandani kama soda na juice nk.
Basi kwanini usitumie aloe vera gel ambayo itafanya kazi ya kuondoa mabaki yote ya vyakula tumboni na sumu zilizosababishwa na vyakula hivyo ili uendelee kuwa na afya njema?

Mifumo yote ya mwili kama mfumo wa ubongo,  moyo, uzungukaji wa damu,  mfumo wa uzazi, Misuli na mifupa inahitaji aina fulani ya Vitamin,  madini, mafuta,  protein na wanga ambavyo kwa pamoja vitaimarisha mifumo hii na kufanya mwili wako kuwa na kinga imara,  aina hizo za virutubisho zitafika kwenye mifumo mingine kwa ushahihi endapo tu mfumo wako wa chakula uko sawa sawa.

Dhumuni la aloe healthy lifestyle ni kukupa elimu na bidhaa zitakazokusaidia kuwa na muonekano mzuri na kujisikia vizuri zaid.  Kwa mahitaji ya Aloe vera gel na Aloe bits and peaches wasiliana nami kwa namba 0654818439/0744411737

Aloe healthy lifestyle Look better Feel better


Comments