FAHAMU JINSI YA KUZUIA VIPELE VYA NDEVU NA WEUSI WA KWAPA BAADA YA KUNYOA

Kwa wastani binadamu anatumia miezi (5) mitano ya maisha yake kushave na ndani ya miezi hiyo mitano kwa mwanaume atashave mara elfu 20,000 katika muda wa maisha yake yote.
Baadhi ya watu huchukia kabisa ikifika kipindi cha kushave kutokana na changamoto wanazozipata wakati na baada ya kushave.


Kushave kuna changamoto nyingi,  haijalishi ni unashave ndevu (mwanaume), sehemu za kwapa au sehemu nyeti.

Changamoto hizo zinaweza kua:

1. Kupata vipele baada ya kunyoa hasa kwenye maeneo yanayozunguka kidevu,  kwapani na weusi.

2. Ngozi kuwasha, kutokana na ukavu unaosababishwa na spirit au bidhaa yenye alcohol inayopakwa kweny ngozi.

3. Kupata weusi baada ya michubuko na vipele baada ya kunyoa kupona vinaacha weusi sehemu husika.


Changamoto hizi zinachangiwa zaidi na bidhaa na vifaa tunavyotumia kunyolea. Sio wote wanapata vipele na weusi,  ila kwa wale wenye vipele na weusi kwenye maeneo wanayoshave, hiyo inachangiwa na vitu vifuatavyo:

1.kushave bila kulainisha ngozi

2.Kupaka spirit au aftershave yenye alcohol baada ya kushave

3.kutokupaka kitu chochote baada ya kushave

4.kutumia blade ama kiwembe kisicho na makali.

Utumie nini ili usipate vipele na uondoe weusi?

1. Lainisha Ngozi kabla ya kunyoa
Ni muhimu kulainisha ngozi yako kabla ya kunyoa kwa, layer ya juu ya ngozi ina chembe hai zilizokufa,  ukilainisha ngozi kabla ya kunyoa itasaidia kuondoa na chembe hai zilizokufa wakati wa kunyoa,  pia itasaidia wembe kuteleza vizuri kwenye ngozi bila kusababisha michubuko.
Aloe liquid soap ni nzuri kwa kunyolea,  ina ph sawa na ngozi yako hivyo haiui bacteria wazuri waliopo kwenye ngozi, ina aloe vera itakayoipa ngozi yako unyevu nyevu unaohitajika wakati wa kunyoa.

2.Tumia aftershave baada ya kunyoa.
unatakiwa kutumia aftershave ili kupoza ngozi,  kuipa unyevu nyevu na kufanya nyororo.  Spirit na aftershave zenye alcohol zinafanya ngozi kuwa kavu, itasababisha miwasho na ukijikuna ndo inapelekea kutoka vipele.

Gentlemans pride aftershave ina stabilized aloe vera itakayopoza na kuponya ngozi na michubuko iliyosababishwa na kiwembe,  haina alcohol hivyo haichomi,  itaipa ngozi unyevu nyevu na unyororo ili kuzuia miwasho.

3. Nyoa kufatisha muelekeo wa nywele zilivyoota. 
Hii itasaidia ngozi isiume zaidi wakati wa kunyoa.  Pia hakikisha kiwembe au blade unayotumia kunyolea ni kikali, kikiwa butu Utarudi mara nyingi na kuumiza zaidi ngozi.

4. Usitumie deodorant yenye chumvi ya aluminum na alcohol.
Chumvi ya aluminum na alcohol inachangia kufanya ngozi iwe kavu na kuwasha baada ya kunyoa ambayo itapelekea kupata weusi wa kwapa.


Aloe vera shield deodorant haina chumvi ya aluminum na unaeza kuitumia hata baada ya kushave na inasaidia kuondoa weusi wa kwapa.

Kwa mahitaji ya Aloe hand soap,  aftershave na deodorant wasiliana nami kwa namba 0654 818439

Lengo letu ni kukuletea elimu na bidhaa zitakazokusaidia kuwa na muonekano mzuri na kujisikia vizuri zaidi. Kumbuka kusubscribe hapo juu ili uwe wakwanza kupata makala hizi.  Je makala hii imekusaidia?  Usisite kuandika maoni yako hapo chini,  na kushare na watu wengi zaidi ili wapate elimu hii.

Aloe healthy lifestyle look better feel better


Comments

  1. Je kwa tunaotokwa vipele tutumie dawa gan baada ya kunyoa ili tuepuke hilo

    ReplyDelete
  2. Uffanuzi wenu unachanganya, mtu anasoma hapati solution kwamba atumie dawa ipi special

    ReplyDelete
  3. Uffanuzi wenu unachanganya, mtu anasoma hapati solution kwamba atumie dawa ipi special

    ReplyDelete
  4. Yaan nlizan unatoa solution ya dawa gani inayofaa kutumika kwa aliyeadhirika

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona sijaelewa ushauri wako tutumie Nini Sasa?

      Delete
  5. Nimesoma sana ushauri wako ila hauelezei end solution kwa waathirika yan

    ReplyDelete
  6. Samahani kwa sisi ambao tunatoka na vipele tunapaswa kutumia dawa gani

    ReplyDelete

Post a Comment